paua_nasi

paua_nasi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from paua_nasi, TABATA Mandela road, Dar es Salaam.

Jenga kwa uhakika na malizia nyumba yako kwa mwonekano wa kisasa ukitumia mabati bora kutoka Paua Nasi.Ubora wake unaone...
26/05/2026

Jenga kwa uhakika na malizia nyumba yako kwa mwonekano wa kisasa ukitumia mabati bora kutoka Paua Nasi.
Ubora wake unaonekana kuanzia uimara, muonekano wa kuvutia hadi uwezo wa kudumu kwa miaka mingi bila kupoteza thamani yake. Chagua mabati yanayoleta hadhi kwenye nyumba yako.

NyumbaNzuri

PATA OFFER YA MISUMARI BUREEE, UNAPO NUNUA BATI KWETU. UTAPATA KILO GRAM TANO ZA MISUMARI YA KUPAULIA BATI LAKO.        ...
22/05/2026

PATA OFFER YA MISUMARI BUREEE, UNAPO NUNUA BATI KWETU. UTAPATA KILO GRAM TANO ZA MISUMARI YA KUPAULIA BATI LAKO.

Nunua upate misumari Bure0757671193
13/05/2026

Nunua upate misumari Bure
0757671193

Karibu sana tukuhudumie leo Kwa punguzo kubwa la BEINote: Hii ni Kwa wateja wa mwezi huu tu.0757671193
12/05/2026

Karibu sana tukuhudumie leo Kwa punguzo kubwa la BEI
Note: Hii ni Kwa wateja wa mwezi huu tu.
0757671193

Furaha ya familia ina anzia nyumbani, na nyumba bora ni ile yenye paa imara, karibu ufurahie maisha kwa bidhaa zetu bora...
09/05/2026

Furaha ya familia ina anzia nyumbani, na nyumba bora ni ile yenye paa imara, karibu ufurahie maisha kwa bidhaa zetu bora kutoka paua nasii.

Ubora unaoonekana, uimara unaodumu. Chagua mabati yatakayolinda nyumba yako kwa miaka mingi bila wasiwasi.Aina mbalimbal...
06/05/2026

Ubora unaoonekana, uimara unaodumu.
Chagua mabati yatakayolinda nyumba yako kwa miaka mingi bila wasiwasi.
Aina mbalimbali zinapatikana kulingana na mahitaji yako — iwe ni migongo midogo, migongo mipana au versatile.
Bei rafiki, quality ya juu.
Usiweke tu paa… weka thamani juu ya nyumba yako.
es salaam housing realestate

Karibu paua nasii, kwa mabati boraa. Yanayo dumu mda mrefu. Tunazingatia uimara na ubora.
05/05/2026

Karibu paua nasii, kwa mabati boraa. Yanayo dumu mda mrefu. Tunazingatia uimara na ubora.

Paa bora si mapambo tu, ni ulinzi wa nyumba yako — chagua bati imara.Tupigie simu namba. 0757 671 193.          RoofingT...
28/04/2026

Paa bora si mapambo tu, ni ulinzi wa nyumba yako — chagua bati imara.
Tupigie simu namba. 0757 671 193.

RoofingTZ

Paa imara linaanza na ubora wa bati! 🔨Mafundi wapo kazini kuhakikisha kila kona inalindwa kwa ustadi wa hali ya juu. Tun...
27/04/2026

Paa imara linaanza na ubora wa bati! 🔨
Mafundi wapo kazini kuhakikisha kila kona inalindwa kwa ustadi wa hali ya juu. Tunazalisha mabati yenye viwango bora, yanayodumu na kukupa amani ya kweli juu ya kichwa chako.
Chagua ubora, chagua uimara, chagua sisi — kwa paa lisilovuja na linalodumu kwa miaka mingi.

Bati la migongo mikubwa kutoka Paua Nasi – suluhisho bora kwa paa imara na la kisasa.Linafunika eneo kubwa zaidi kwa ufa...
26/04/2026

Bati la migongo mikubwa kutoka Paua Nasi – suluhisho bora kwa paa imara na la kisasa.
Linafunika eneo kubwa zaidi kwa ufanisi, lina nguvu ya kudumu, na linakupa muonekano wa kuvutia unaoendana na ubora wa hali ya juu

Address

TABATA Mandela Road
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when paua_nasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share