Sam Food

Sam Food Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sam Food, Food Delivery Service, Mwanza.

TUNAUZA DAGAA NA SAMAKI WA MWANZA KWA BEI NAFUU.
KARIBU SAM FOOD UJIPATIE DAGAA NA SAMAKI WENYE UBORA
TUPO MWANZA
TUPIGIEE 0786226392
JIUNGE KWENYE CHANNEL YETU
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7XfbDJ93wUbTxvlF0Q

Nakaribia kuoa k**a unawiwa kunichangia chochote kitu njoo whatsapp 0786 226 392
01/07/2026

Nakaribia kuoa k**a unawiwa kunichangia chochote kitu njoo whatsapp 0786 226 392

Mbwa ni wengi sana lakini naomba niwe mbwa mkubwa ukishindwa kufanikiwa kwenye hii biashara nipo pembeni nakusubiri uniu...
29/06/2026

Mbwa ni wengi sana lakini naomba niwe mbwa mkubwa ukishindwa kufanikiwa kwenye hii biashara nipo pembeni nakusubiri uniulize kitu.. follow Anitha wa Sam

Piga hizi namba 0786226392

1. Sio kila mtu atafurahia kuona unakua.Nilidhani watu wa karibu ndio wangekuwa wa kwanza kunisapoti. Lakini nilijifunza...
28/06/2026

1. Sio kila mtu atafurahia kuona unakua.
Nilidhani watu wa karibu ndio wangekuwa wa kwanza kunisapoti. Lakini nilijifunza kuwa wakati mwingine watu usiowajua ndio watakuwa wateja na washabiki wako wakubwa kuliko wale unaowategemea.

2. Mauzo hayaji kwa sababu una bidhaa nzuri pekee.
Unaweza kuwa na bidhaa bora kabisa, lakini k**a watu hawajui unachouza, hawatanunua. Biashara inahitaji kujitangaza kila siku, kujenga uaminifu na kuonekana mara kwa mara.

3. Nidhamu ni muhimu kuliko motisha.
Kuna siku hutakuwa na hamasa ya kufanya kazi, lakini bili hazisubiri. Biashara hukua kwa kufanya mambo muhimu kila siku, hata pale unapojisikia kuchoka.

4. Faida sio pesa za matumizi.
Mwanzoni nilidhani nikipata faida niitumie. Nilikuja kujifunza kuwa faida nyingi zinapaswa kurudishwa kwenye biashara ili ikue. Biashara inayokua leo ni matokeo ya kuwekeza tena faida ya jana.

5. Mafanikio yanahitaji muda na uvumilivu.
Nilidhani mambo yangekuwa rahisi na ya haraka. Ukweli ni kwamba kuna vipindi vya hasara, kukataliwa, makosa na kujifunza. Ukivumilia na kuendelea kuboresha, matokeo huanza kuonekana.

Biashara imenifundisha kuwa mafanikio hayaji kwa bahati. Yanajengwa na maamuzi sahihi unayorudia kila siku, kujifunza kutokana na makosa, na kutokukata tamaa hata mambo yanapokuwa magumu.

Usiache kufollow page yangu itapotea na hutaiona Sam Food

28/06/2026

KARIBU Sam Food

27/06/2026

KARIBU SAM FOOD

K**a kuna mdada wa miaka 20 mrembo Mwanza aje nimnunulie supu saivi..
26/06/2026

K**a kuna mdada wa miaka 20 mrembo Mwanza aje nimnunulie supu saivi..

We mmama ulie olewa na miaka 56 karibu tule😂😂😂
25/06/2026

We mmama ulie olewa na miaka 56 karibu tule😂😂😂

K**a upo Dar na Arusha niagize kesho nikutumiee kwa bei ya ofa Mmoja 4,500 tu oda kuanzia 10 n.k kumbuka ni ofaK**a unah...
25/06/2026

K**a upo Dar na Arusha niagize kesho nikutumiee kwa bei ya ofa
Mmoja 4,500 tu oda kuanzia 10 n.k kumbuka ni ofa
K**a unahitaji njoo inbox 0786 226 392

Tabiri k**a unamjua huyu anataka awe maarufu
25/06/2026

Tabiri k**a unamjua huyu anataka awe maarufu

24/06/2026

Asanteni wateja wangu kwa sapoti yenu kwa kipindi chote nipende kuwambia kwamba tumepambana ziwa limefungwa hadi tarehe 05/07/2026

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sam Food posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share