06/10/2019
Matendo ya mitume 3:3 Inasema hivi. Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye wakimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao Mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu, Mtu huyu akiwaona petro na yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka. Na petro, akimukazia macho, pamoja na yohana, akasema, tutazame sisi. Yule mtu akawangalia petro na yohana uku akitaraji kupata kitu kwao, Lakini petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, Lakini nilicho nacho ndicho nikupacho, kwa Jina la yesu kristo wa nazareti, Simama Wende