20/12/2019
Msimu wa shamrashamra ndio huu! ππ
Sherehekea na wapendwa wako na kuku mtamuuu wa kienyeji halisi kutoka Sai_Chicken_House leo!
Agiza kupitia nambari yetu ya rununu, 0798570020 na tutaleta mpaka ulipo!
Asante na umekaribishwa sana π