Interchick Shambani

Interchick Shambani � Tunawekeza ubora kwenye kila yai tunalototolesha, kila kuku tunaefuga na kila chakula tunachotengeneza.

Ukiwa unasherehekea sikukuu ya Saba Saba Interchick tunakuambia ukiwa na Kifaranga bora kutoka kwetu unapiga hat trick y...
07/07/2026

Ukiwa unasherehekea sikukuu ya Saba Saba Interchick tunakuambia ukiwa na Kifaranga bora kutoka kwetu unapiga hat trick yani unasherehekea vitu vitatu kwa mpigo. Anakua haraka, ana nyama nyingi na faida ni chap chap.

Weka oda yako leo kwa kupiga simu 0699 999 600.


Kwenye mpira tunasema weka boli, soka litambae, ila ukija kwenye ufugaji tunasema anza ufugaji na vifaranga bora ili upa...
06/07/2026

Kwenye mpira tunasema weka boli, soka litambae, ila ukija kwenye ufugaji tunasema anza ufugaji na vifaranga bora ili upate matokeo yenye tija.

Tupe maoni yako kwenye komenti.


Swali hili limekuwa likiulizwa kwa miaka mingi, Leo tunataka kusikia maoni yako 👇Je, unaamini:a) Yai ndio lilianza? au...
03/07/2026

Swali hili limekuwa likiulizwa kwa miaka mingi, Leo tunataka kusikia maoni yako 👇

Je, unaamini: a) Yai ndio lilianza? au b) Kifaranga ndiye alianza?

Tupigie kura kwenye comments na utupe sababu yako😄


Kuanzia sasa hatupokei cash, malipo yote ya manunuzi yanayofanyika kwenye Depots zetu, Dar es Salaam na mikoani, yatafan...
02/07/2026

Kuanzia sasa hatupokei cash, malipo yote ya manunuzi yanayofanyika kwenye Depots zetu, Dar es Salaam na mikoani, yatafanyika kupitia simu au benki.

Tunakuomba kufuata maelekezo ya malipo yanayotolewa ili kuhakikisha muamala wako unakamilika kwa usahihi.

Asante kwa ushirikiano wako na kwa kuendelea kutuchagua.



Fuatilia page yetu na uwe wa kwanza kujua kinachoendelea, usikubali kupitwa na post yoyote kuanzia sasa.
01/07/2026

Fuatilia page yetu na uwe wa kwanza kujua kinachoendelea, usikubali kupitwa na post yoyote kuanzia sasa.

Kuna vifaranga, alafu kuna Tanbro🤩Ni vifaranga imara, waliopewa chanjo, wenye afya na ukuaji mzuri. Unaweza kufuga kieny...
29/06/2026

Kuna vifaranga, alafu kuna Tanbro🤩

Ni vifaranga imara, waliopewa chanjo, wenye afya na ukuaji mzuri.

Unaweza kufuga kienyeji kwa ajili ya nyama au mayai kulingana na malengo yako na ukapata matokeo mazuri. ​

Weka oda leo kwa kupiga simu, 0699 999 600 au 0762 728 057.​



Lishe sahihi huchangia utagaji mzuri wa mayai mengi, makubwa na yenye kiini cha njjano.​Nunua leo Layer chick mash, Laye...
26/06/2026

Lishe sahihi huchangia utagaji mzuri wa mayai mengi, makubwa na yenye kiini cha njjano.​

Nunua leo Layer chick mash, Layer grower na Layer complete mash kwa ufanisi bora wa utagaji wa kuku wako.​

Tembelea ofisi yetu kujipatia idadi ya mifuko unayohitaji au wasiliana nasi kupitia, 0699 999 600 au 0762 728 057.​



Karibu Jumamosi ya wiki hii katika ukumbi wa Aqua Vitae Resort Singida kupata mafunzo ya ufugaji wa faida.Mafunzo haya n...
25/06/2026

Karibu Jumamosi ya wiki hii katika ukumbi wa Aqua Vitae Resort Singida kupata mafunzo ya ufugaji wa faida.

Mafunzo haya ni bure kwa watu wote.

Mtag mfugaji mwenzio unayetamani asikose semina hii.



Usiache mafanikio ya ufugaji wako yatokane na bahati.​Iwe unaanza ufugaji au unaendelea, hakikisha unapata vifaranga bor...
24/06/2026

Usiache mafanikio ya ufugaji wako yatokane na bahati.​

Iwe unaanza ufugaji au unaendelea, hakikisha unapata vifaranga bora, imara na vyenye afya kutoka Interchick ili kuongeza uzalishaji na kupata faida zaidi.

Weka oda yako leo kwa kupiga simu, 0699 999 600 au 0762 728 057​



Lisha kuku wako chakula chenye virutubisho muhimu vinavyochochea ukuaji wa haraka, uzito mkubwa na nyama nyingi.Nunua le...
22/06/2026

Lisha kuku wako chakula chenye virutubisho muhimu vinavyochochea ukuaji wa haraka, uzito mkubwa na nyama nyingi.

Nunua leo Broiler starter, Broiler grower na Broiler finisher kwa ufugaji wenye tija.

Tembelea ofisi zetu kupata idadi ya mifuko unayohitaji au wasiliana nasi kupitia 0699 999 600 au 0762 728 057.



Address

New Bagamoyo Road, Jogoo/Mbezi Industrial Area, P. O. Box 5774
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255762728057

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Interchick Shambani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Interchick Shambani:

Share

Category