Cana caterers

Cana caterers Tunapika kwenye sherehe, misiba na mikusanyiko mbalimbali. Tunapika Pilau na birian kila Ijumaa tupo kiluvya gogoni njia ya kwenda kifai secondary school.

Karibu tukuhudumie

Ni njugu za n**i tu. Mara ya mwisho kuzipika ni lini?
20/10/2021

Ni njugu za n**i tu. Mara ya mwisho kuzipika ni lini?

20/10/2021

Msisahau kila Ijumaa tuna Biriani na pilau Matata. Tunapatikana Kiluvya Gogoni njia ya kwenda Kifai

19/10/2021

Kula kujiramba kula kujigalagaza. Nawakumbusha kila Ijumaa Biriani nyama na Biriani Kuku zinapatikana kiluvya Gogoni

Jumapili yako iliishaje?
17/10/2021

Jumapili yako iliishaje?

Ijumaaa ndio Kesho.  Sasa wakazi wa Kiluvya Gogoni na viunga vyake karibuni kwa Biriani & Pilau Friday. Tangazo linajiel...
30/09/2021

Ijumaaa ndio Kesho. Sasa wakazi wa Kiluvya Gogoni na viunga vyake karibuni kwa Biriani & Pilau Friday.
Tangazo linajieleza hapo

24/09/2021

Ijumaa imeisha hivyo. Tukutane tena ijumaa ijayo kwa biriani Kuku 3500 tu unapata Na Cocacola ndogo tunapatikana kiluvya Gogoni

17/09/2021

Una sherehe, Msiba au shughuli yoyote? Unahitaji chakula kitamu chenye ladha? Tutafute Leo.

Address

Kiluvya Gogoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255653901193

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cana caterers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Cana caterers:

Share