NYUMBA BORA

NYUMBA BORA Jifunze na Hamasika Kuhusu Ujenzi wa Nyumba Bora za Kuishi!
(1)

House Plan ID-26211, 4 bedrooms, 3325+1653 bricks and 154 corrugates- 185.75 sqm Coverage- 17.9 m Length- 13.05 m Width
28/06/2023

House Plan ID-26211, 4 bedrooms, 3325+1653 bricks and 154 corrugates

- 185.75 sqm Coverage
- 17.9 m Length
- 13.05 m Width

4 bedrooms best for your cool family which requires a plot of minimum 25x25m. It has off-white colors which signifies a state house for high discipline

Nyumba ni AFYA ya familia na Mara nyingi wazo la Kujenga nyumba huletwa na Mama, Basi Mungu akujalie ule mpango wako mzu...
03/12/2019

Nyumba ni AFYA ya familia na Mara nyingi wazo la Kujenga nyumba huletwa na Mama, Basi Mungu akujalie ule mpango wako mzuri muanze kabla ya mwaka kuisha!

Nyumba ya vyumba 3 ya familia ambapo kuna chumba kimoja master bedroom na vyumba 2 vya kawaida; Pia ina sebure, jiko, dining na veranda ya jiko na sebure pamoja na choo na bafu la

KABLA mwaka haujaisha, Mungu akufanyie namna uanze ule MPANGO wako wa UJENZI wa MWAKA HUU!πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½Soma zaidi--->
27/11/2019

KABLA mwaka haujaisha, Mungu akufanyie namna uanze ule MPANGO wako wa UJENZI wa MWAKA HUU!

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

Soma zaidi--->

THREE BEDROOMS HOUSE 1 MASTER BEDROOM 1 SELF CONTAINED ROOM 1 NORMAL ROOM SITTING ROOM,DINING,KITCHEN,STORE & PUBLIC

ZAIDI YA NYUMBA 30 UNAZOWEZA JENGA TZ. pakua app MAKAZI (https://play.google.com/store/apps/details?id=com.makazi.app)il...
04/02/2019

ZAIDI YA NYUMBA 30 UNAZOWEZA JENGA TZ. pakua app MAKAZI (https://play.google.com/store/apps/details?id=com.makazi.app)ili uone RAMANI, vipimo, GHARAMA YA UFUNDI, makadirio, KIWANJA KINACHOTOSHA...
1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50
2 ==> vyumba 3, tofali 1800, bati 60
3 ==> vyumba 3, tofali 1900, bati 65
4 ==> vyumba 3, tofali 1400, bati 62
5 ==> vyumba 3, tofali 2278, bati 65
6 ==> vyumba 3, tofali 3000, bati 80
7 ==> vyumba 3, tofali 2380, bati 76
8 ==> vyumba 3, tofali 2333, bati 70
9 ==> vyumba 3, tofali 2776, bati 85
10 ==> vyumba 3, tofali 3118, bati 91
11 ==> vyumba 2, tofali 3666, bati 119
12 ==> vyumba 4, tofali 3324, bati 108
13 ==> vyumba 3, tofali 2522, bati 76
14 ==> vyumba 4, tofali 4213, bati 108
15 ==> vyumba 4, tofali 5118, bati 136
16 ==> vyumba 4, tofali 5013, bati 128
17 ==> vyumba 3, tofali 4236, bati 97
18 ==> vyumba 3, tofali 3883, bati 126
19 ==> vyumba 4, tofali 3769, bati 95
20 ==> vyumba 4, tofali 3033, bati 94
21 ==> vyumba 4, tofali 4139, bati 152
22 ==> vyumba 4, tofali 6668, bati 163
23 ==> vyumba 2, tofali 3623, bati 59
24 ==> vyumba 3, tofali 2914, bati 33
25 ==> vyumba 3, tofali 4006, bati 82
26 ==> vyumba 3, tofali 4177, bati 99
27 ==> vyumba 4, tofali 5584, bati 77
28 ==> vyumba 4, tofali 9188, bati 36

++++++++++++++++++++++++++++++++++++
PIA HUMO KUNA MAFUNZO NA SEHEMU YA KUULIZA MASWALI YAKO YA UJENZI
++++++++++++++++++++++++++++++++++++

==> Gharama kiasi gani inahitajika kukamilisha ujenzi wako
==> Ushauri wa namna ya KUOKOA GHARAMA ktk UJENZI wako
==> Njia "hatari" ambazo "mtaani" wanatumia kuokoa gharama
==> Aina gani ya nyumba inakufaa kujenga
==> Namna ya kusimamia ujenzi wako (especially unapokuwa mbali)
==> Aina gani ya kiwanja kinakufaa
==> taratibu za kujenga ghorofa unazotakiwa kufuata
==> Kuona sample za ramani mbalimbali hapo
==> tushirikishe ramani yako tushauriane

++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Pakua App Playstore inaitwa "" MAKAZI "" ili uwe nazo ramani ktk simu yako muda wote

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.makazi.app

15/11/2018
FAHAMU Zaidi Unapotaka Kujenga Nyumba BATI ZISIZOONEKANA (CONTEMPORARY Houses za KITANZANIA)==> Msaada wa kitaalamu: +25...
21/08/2018

FAHAMU Zaidi Unapotaka Kujenga Nyumba BATI ZISIZOONEKANA (CONTEMPORARY Houses za KITANZANIA)
==> Msaada wa kitaalamu: +255 657 685 268

CONTEMPOARY HOUSES nini?
- Contemporary maana yake ni MODERN. Hivyo hizi ni nyumba za kisasa zaidi (zinazo-trend)
- Zinasifa za kuwa simple, smart, minimalistic, clear. Zina sura bapa(planes), box style, nyuzi pembe nne, straightness, rangi chache zaidi nyeupe na gray, open space, less privacy as freedom, madirisha na milango mikubwa
- Zinatabia ya kutumia vifaa aina ya: zege, metal zaidi, vioo zaidi. Zimekuja katika zama hizi za matumizi makubwa ya viwanda na computer!
- Maghorofa mengi yanayojengwa siku hizi posta yana tabia hizi maana ni za kisasa
- Google picha: CONTEMPORARY HOUSES --> utapata jibu
- Watu wengi wanazipenda sana haswa. Nje ya nchi wanazijenga sana ila Tanzania watu bado hawana mwongozo zaidi

TUMEKUANDALIA CONTEMPOARY HOUSES ZA KITANZANIA! - Je, zinatabia gani?
Tumekuandalia contempoary houses ambazo unaweza kujenga Tanzania huku tukiwa tumeangalia UCHUMI, TAMADUNI, HALI, UFUNDI… ambao upo katika mazingira yetu TANZANIA lakini pia bila kuharibu ladha, utamu, ubora… wa contemporary ili Mtanzania uweze uweze kupata maximum satsfaction na kutimiza hamu yako
- Tumeziweka zitumie bati la kawaida tuu ili kuepuka gharama za zege na nondo
- Bati limefichwa vizuri lisionekane ili lisiharibu ladha za muonekano
- Bati linakusanya maji na kumwaga ktk pembe zake nje bila kuvuja (k**a nyumba za kawaida) [ila bati limefichwa vyema halionekani]
- Kutokana na kuziba bati lisionekane basi idadi ya tofali, cement imeongezeka kidogo. Hivyo gharama ipo kikawaida tuu
- Actually ni nyumba ya kawaida hivyo fundi wako anaweza kujenga vyema bila shida yoyote [cha msingi tu ajenge kulingana na ramani inavyosema]
- Watanzania tunajenga kwa awamu kidogo-kidogo, hata hizi waweza jenga kidogo-kidogo kwa awamu
- Mpangilio wa nyumba na layout ya vyumba umekaa katika tamaduni ya Kitanzania kwa welfare ya familia
- Ukubwa wa nyumba na vyumba ni wa kawaida katika kutosha katika viwanja vyetu

Msaada wa Kitaalamu, Ushauri site au Ofisini
+255 657 685 268 - L. Mangula

Karibu Ofisini (Tshs. 25,000/= advance payment)
Tegeta, Salasala, Dar es Salaam TZ

Jtatu - Jmosi, 2 asb - 1 usk

23/07/2018

SPECIAL OFFER kwa wateja wetu ----> Piga/ Whtsp +255 657 685 268
==> Tsh. 100,000/= uandaliwe FULL PACKAGE!
==> Ofa Mwisho: Leo saa 2 usiku
***Chagua RAMANI uitakayo hapo TUKUANDALIE SASA!***

Pata Huduama ya Kushusha GHARAMA za UJENZI wa NYUMBA yako Mpaka -30%uwezeKufanikisha ujenzi wa Nyumba yako kwa UNAFUU na...
09/04/2018

Pata Huduama ya Kushusha GHARAMA za UJENZI wa NYUMBA yako Mpaka -30%
uweze
Kufanikisha ujenzi wa Nyumba yako kwa UNAFUU na UFANISI zaidi!

+255 657 685 268

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NYUMBA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share