Swahilifood

Swahilifood Swahili Food / Home & Office Delivery

Tunapokea order za Biriani/Pilau Ng'ombe. Bei ya sahani moja ni 7000 utagharamia usafiri elfu tu k**a uko Kinondoni 3000...
08/09/2017

Tunapokea order za Biriani/Pilau Ng'ombe. Bei ya sahani moja ni 7000 utagharamia usafiri elfu tu k**a uko Kinondoni 3000. Na k**a uko Posta au Upanga ni 4000. Tupigie kuweka order yako +255 711 432 324

Habari za asubuhi. Tunapenda kuwafahimisha kuwa tunaanza kupokea order ya Iftar kuanzia muda huu. Ili ile uletewe jioni ...
13/06/2017

Habari za asubuhi. Tunapenda kuwafahimisha kuwa tunaanza kupokea order ya Iftar kuanzia muda huu. Ili ile uletewe jioni sehemu ambapo ulipo. Kwa maelezo zaidi unaweza kutupata kwenye Whatsapp au kutupigia 0711 432324

12/06/2017

Tunaanza kupokea order ya chakula cha mchana kuanzia kesho asubuhi. Wale wenzangu wa maofisini na nyumbani tupigie mapema kabla ya saa tano asubuhi. Tutakua na wali nyama, wali samaki, wali maini, pilau, ugali nyama choma, Ugali Samaki. Free Delivery k**a uko maeneo ya Oysterbay, Masaki, Mikocheni na Ada Estate, Tupigie au whatsapp +255 711 432324

Unahitaji kula Biryani au Pilau mchana ukiwa nyumbani au kazini kila siku ya wiki? Basi usiwe na shaka tupigie 0754 3836...
27/07/2016

Unahitaji kula Biryani au Pilau mchana ukiwa nyumbani au kazini kila siku ya wiki? Basi usiwe na shaka tupigie 0754 383631 na tutakuletea popote ulipo Dar Es Salaam. Good Food Good Life

27/07/2016

Unahitaji kula Biryani au Pilau mchana kila siku ya wiki? Basi usiwe na shaka tupigie na tutakuletea popote ulipo Dar Es Salaam.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahilifood posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahilifood:

Share

Category